Fundi wa kabati za jikoni

Fundi wa kabati za jikoni

mlimbwende

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
74
Reaction score
26
Wana JF mwenye kumfahamu fundi mzuri wa kabati za kisasa za jikoni naomba anijulishe. Asanteni!
 
budget yako ikoje?mimi namfahamu ila gharama yake ni kuanzia 4m mbao mninga
 
Check with a company named kwezi (T) Limited, hawa jamaa ni registered residential house contractors and interior designors watakupa affordable prices in a wide range of various designs ni wewe tu kuchagua ipi inakufaa and which budget you can afford either using hardwood or mdf board with a granite top or melanine top. Email them using kweziconstruction@gmail.com ask for John
 
Mwenge opposite Efatha kuna kampuni inafanya interior design na kazi yao sio mbaya
 
Haya hapa inaonekana wengi wanatafauta,sasa waliofanya kazi na hayo makampuni watume sample ya kazi walizowafanyia
 
Mi sitafuti nimepita kuangalis tu kama kuna picha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom