Kama flat tv yako ina changamoto imeharibika au haifanyi kazi (mbovu)
Karibu tukumalizie tatizo lako mara moja
Tatizo lolote la tv tunasolve..
Ofisi ipo ilala karume.
NB: KWA WALIOVUNJIKIWA VIOO VIMEKUA ADIM SANA.. NA CHANGAMOTO NI BEI..
Pia nanunua tv mbovu zilizoshindikana kama spea
Yangu kuna dogo amelock kwenye upande wa USB,/ Flash haisomi kabisa, vipi nitawezaje kuunlock coz nipo mkoani, kwenye setting niende wapi kuunlock, Tv ni Led (HDMI)