Vipi mkuu ulipata fundi,na mimi nahitaji fundi wa TV.Natafundi wa Flat screen LG Tv.
Tatizo ni kuwa nikichomeka nyaya za king'amuzi cha azam basi TV inajizima.
Inabidi mpaka uzima kwenye umeme na kuwasha umeme ndio inawaka tena
Natanguliza shukrani
Pole sana hope mafundi watakutafta