FUNDI WA FLAT SCREEN TV MITAA YA MWENGE

FUNDI WA FLAT SCREEN TV MITAA YA MWENGE

Bulamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
14,122
Reaction score
13,392
Natafundi wa Flat screen LG Tv.
Tatizo ni kuwa nikichomeka nyaya za king'amuzi cha azam basi TV inajizima.
Inabidi mpaka uzima kwenye umeme na kuwasha umeme ndio inawaka tena
Natanguliza shukrani
 
Natafundi wa Flat screen LG Tv.
Tatizo ni kuwa nikichomeka nyaya za king'amuzi cha azam basi TV inajizima.
Inabidi mpaka uzima kwenye umeme na kuwasha umeme ndio inawaka tena
Natanguliza shukrani
Vipi mkuu ulipata fundi,na mimi nahitaji fundi wa TV.
 
Back
Top Bottom