fundi wa Blackberry

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
wanajamvi, kwa anayejua
fundi mzuri wa kutengeneza
simu za blackberry, tatizo ni
simu iliingia maji ikazima,
haiwaki kabisa
Naomba kwa anayejua ani PM contacts
 
Mkuu ina maana hujaipa huduma ya kwanza BB kama kutoa betri,kuinika juani?
Ila ngoja waje wajuzi wakuelekeza pia mambo yatakwenda vema.
:A S thumbs_up:
 
Mkuu ina maana hujaipa huduma ya kwanza BB kama kutoa betri,kuinika juani?
Ila ngoja waje wajuzi wakuelekeza pia mambo yatakwenda vema.
:A S thumbs_up:

Nimeipa mkuu. . .sa hivi ni kungojea fundi tu. . .
 
Wakuu hata mimi nina curve haisomi memory card aka media card.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
simu ikingia maji kupona ni asilimia 30% kwani maji huwa yana tengeza ukungu ambao huwa unakula amakuharibu njia na kushoti vilevile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom