fundi umeme

fundi umeme

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye ujuzi wa taaluma ya ufundi umeme,
-Nafanya wiring katika nyumba
-Natatua hitilafu za kiumeme katika nyumba
-Nachora na Kudizaini michoro mbalimbali ya kiumeme katika nyumba
-Natoa ushauri kuhusu mambo ya kiumeme
KWA HAYO NA MENGINE USISITE KUWASILIANA NAMI 0718 30 21 32,Email rjuma224@gmail.com,natapatikana dsm maeneo ya ilala
 
Nahitaji mtu wa kuniweke alarm system ya moto katika nyumba yangu, je unaweza? kama yesi niambie nikupigie tuongeee
 
Back
Top Bottom