Fundi umeme Mwanza nipo hapa

Fundi umeme Mwanza nipo hapa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,406
Igweeeee!!

Fundi mahiri uzoefu miaka 25 katika ufundi wa umeme wa majumbani na umeme wa viwandani. Nimekuja Mwanza kwa muda wa miezi 3 ua zaidi. Hakika ninafanya kazi yenye ubora kwani hata mafunzo ni ya darasani, nina leseni class C inayotolewa na TANESCO, registered contractor na reference za kutosha kwa kazi nilizowahi kufanya.

Mwanza au nje ya MWANZA nitakuja tu kwa makubaliano


Usisite kunipigia moja kwa moja katika simu yangu 0742 894 960 au nitumie private message, message zote zitajibiwa kwa wakati.

KWANGU HAKUNA KAZI NDOGO WALA KUBWA

(Posted for my friend)
 
Back
Top Bottom