Naishi nchini Canada nilikua najenga bongo, kutokana na mafundi wengi hapo bongo wamekua wababaishaji, wezi wa vifaa na uchakachuaji niliamua kumtoa fundi kutoka Moshi.
Mafundi kutoka Moshi niwauhakika na bei poa sana. Kafanya kazi yangu vizuri na nimeipenda sana, hakuna longolongo nauzuri wake amefanya kazi yangu tu bila ya kuchukua kazi zingine. Nimpole na anakusikiliza na kila kitu anahakikisha kinafanyika kwa viwango. Haibi kabisa nimewahi kumjaribu lakini hakuniibia.
Hii ilipelekea kuchukua mafundi wangu wote kutoka mkoani fundi tiles na hata aluminimu na bomba. Juzi nilimpa kazi ya kujenga Fence kaijenga vizuri tu lakini kwa sasa nimekwama kidogo na yeye yupo kwa ajili yangu, sasa wakati natafuta pesa nilitaka aendelee kunisubiria maana kumtoa tena Moshi ni gharama hivyo basi endapo una kazi yako kubwa au ndogo yakumpa ili aendelee kuwepo naomba tuwasiliane.
Ni fundi wa bei nafuu za Moshi na amesomea sio wakubabaisha. Naombeni mniunganishie na watu wenye kazi ili aweze kuwepo mpaka mwezi wa nane nitakapokuwa tayari kumalizia fensi yangu.
Naombeni tuwasiliane kwa njia ya whatsup +358451184905 kwa maelezo zaidi. Sipo Tanzania lakini nitamuunganisha na yoyote atakae muhitaji au mpigie direct kwa no yake 0715905225.
Yupo bunju lakini anaweza kusafiri kwa mji wa dar, bagamoyo, kibaha, kigamboni au mbali zaidi. Pia yupo tayari kulala site