Fundi ujenzi anatafutwa

Fundi ujenzi anatafutwa

imbegete

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,299
Reaction score
994
Wakuu wa humu,

Msaada wenu unahitajita.

Tafadhali mwenye uwezo au anayemfahamu fundi ujenzi tuwasiliane au aniunganishe naye. kazi yenyewe ni kumalizia vibaraza viwili vya nyumba, itakuwa vizuri kama mtu huyo atakuwa anatoka maeneo ya G/mboto, Pugu au hata Chanika.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Wakuu wa humu, msaada wenu unahitajita. Tafadhali mwenye uwezo au anayemfahamu fundi ujenzi tuwasiliane au aniunganishe naye. kazi yenyewe ni kumalizia vibaraza viwili vya nyumba. itakuwa vizuri kama mtu huyo atakuwa anatoka maeneo ya G/mboto, Pugu au hata chanika. Natanguliza shukrani zangu.
mkuu yupo ninayemjua lkn anakaa cnza ni mchapa kazi kweli sio mzinguaji kama vp sema nikuunganishe nae
 
mkuu yupo ninayemjua lkn anakaa cnza ni mchapa kazi kweli sio mzinguaji kama vp sema nikuunganishe nae

Asante sana mkuu, umbali huo nahisi gharama zitakuwa kubwa !!!, nakuletea # pm uniunganishe nimsikilize.
 
anaitwa makolo anaishi pugu mawasiliano 0652 095 771
 
Back
Top Bottom