mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 1,017
- 1,546
Tatizo we ushaweka limitation kwamba fundi lazima atoke Arusha.......Bado naona watu wanatoa namba za simu tu badala ya kutoa taarifa ambazo zitanipa uelekeo wa kunishawishi niwape kazi au la.Nafikiri hii pia ni moja ya shida zinazofanya watanzania tushindwe kuwa na ushindani kimataifa.Kwa jinsi nilivytoa taarifa na maelezo hapo juu ina maana tayari kama mtu ni fundi mzoefu ana uwezo wa kuchukua hizo taarifa kuzifanyia kazi na kisha anitafute ama kwa email au pm kisha anieleze kidogo kuhusu kazi yake uzoefu wake na gharama zake ili nifanye mchakato.Naona wengi huku wamezoea ama kupewa kazi kwa kujuana au kuonewa huruma au kupendelewa na sio kwa kuwa competitive.Ila naendelea kusubiri labda atatokea mwenye uelewa achangamkia hii kazi.
Finishing ya nyumba inategemea na wewe client unataka ufanye umaliziaji wa materials gani......Nyumba ya vyumba 7,sitting room, toilets be gani finishing..
Vyumba ni 2.5x2.5 mita kasoro viwili, kuna 3.5 x2.5 na 3.5x7.5 mita, sebule 4.5x10 meter toilet na bafu ni 3.5x2.5 mita pia kuna kolido mbili moja ina upana na urefu wa 1x14mita na nyingine 1x8mita veranda ni 3.5x3.5.
Makadirio ya chini kabisa kwa nyumba ya kisasa
Sio tatizo ninataka fundi ambaye ana uzoefu wa kufanya kazi kule Arusha.Kuna Project zingine zitafanyika Dar ila mpaka mwezi wa Tano au wa Sita kwa wale wa Dar nitwatafutaTatizo we ushaweka limitation kwamba fundi lazima atoke Arusha.......
Hii ni bei ya fundi ujira au nauli500,000/=
Nicheki pm pia nakuhitaji pia mkuu, tena na mimi nipo arusha500,000/=
Toa ushauri hata kwa manufaa ya sisi wengine mkuu, njoo pm unisaidie mawazoMimi ni mtaalamu wa ujenzi, sihitaji hio kazi lakini naweza kukupa ushauri bure wa kitaalamu.
Sawa ni PM shida yakoToa ushauri hata kwa manufaa ya sisi wengine mkuu, njoo pm unisaidie mawazo
500,000/=
mkuu ni p.m no zako.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] jamaa anataka ampokonye mwenzake tonge mdomoni[emoji1]0628472516
Sebule mita 10!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] aysee fanya uwaone Forbes waiweke nyumba yako kwenye record za dunia[emoji1]Nyumba ya vyumba 7,sitting room, toilets be gani finishing..
Vyumba ni 2.5x2.5 mita kasoro viwili, kuna 3.5 x2.5 na 3.5x7.5 mita, sebule 4.5x10 meter toilet na bafu ni 3.5x2.5 mita pia kuna kolido mbili moja ina upana na urefu wa 1x14mita na nyingine 1x8mita veranda ni 3.5x3.5.
Makadirio ya chini kabisa kwa nyumba ya kisasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sebule mita 10!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] aysee fanya uwaone Forbes waiweke nyumba yako kwenye record za dunia[emoji1]
Sebule mita 10!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] aysee fanya uwaone Forbes waiweke nyumba yako kwenye record za dunia[emoji1]
[emoji1] [emoji1] kwa Mara ya kwanza ndo nasikia kwako, au unataka uwe unawalaza wageni sebuleni?[emoji4] [emoji4]Ni kweli mkuu tena hapo ni juu tu bado underground size ya kiwanja hicho hicho ila ramani yake ni siri sijataja.
[emoji1] [emoji1] kwa Mara ya kwanza ndo nasikia kwako, au unataka uwe unawalaza wageni sebuleni?[emoji4] [emoji4]
Kubwa mnoo asee,ni zaidi ya Mara mbili ya vipimo vya kawaida vilivyozoelekaMkuu ni kubwa au ndogo sana.
Hapana ni sitting room kama zingine tu.
4.5 x!x 10 mbn ni kawaida tu aiseeeeKubwa mnoo asee,ni zaidi ya Mara mbili ya vipimo vya kawaida vilivyozoeleka
Sawa mkuu ila naamini kuwa unaijua vyema hiyo mita 10 inafananaje kiurefu4.5 x!x 10 mbn ni kawaida tu aiseeee
Sawa mkuu ila naamini kuwa unaijua vyema hiyo mita 10 inafananaje kiurefu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe umejipanga kwa mikutano!! Bila shaka ktk ukoo wenu nyumba yako ndo watakua wanakuja kufanyia vikao mbali mbali (harusi, misiba n.k) hamna haja tena ya kutafuta ukumbi wa kukodi koh koh[emoji4]Hahahaha mkuu ni ya kawaida sema imekaa kimstatili mno.
Sebule kubwa inapendeza hatakama mnajadiliana mnakaa mbalimbali ukitokea ugomvi hadi aje urushe ngumi utakuwa umejipanga....
Ilafu inakupa uhuru hata msiba ukitokea hakuna haja ya kutoa thamani njee [emoji3][emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe umejipanga kwa mikutano!! Bila shaka ktk ukoo wenu nyumba yako ndo watakua wanakuja kufanyia vikao mbali mbali (harusi, misiba n.k) hamna haja tena ya kutafuta ukumbi wa kukodi koh koh[emoji4]