Fundi TV anahitajika

Fundi TV anahitajika

Mgomele

Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
61
Reaction score
106
Salaam wakuu!
Nahitaji Fundi mzoefu wa Flat Tv. Tv yangu ni aina ya TECHWOOD 32" .. Tatizo ni power.
Kama yuko tayar kunitengenezea nyumbani kwangu ni PM .
Nyumbani ni Mjimwema Kigamboni

NB. Nauli nagharamia
 
nione 0719484663
 
Back
Top Bottom