Fundi tiles nguli anapatikana

C9trix

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
213
185
Fundi tiles mbobezi anapatikana Daressalaam, Moshi, Arusha na Dodoma kwa namba 0717533657 na PM mnakaribishwa
IMG_20191014_083934.jpg
IMG_20191014_083500.jpg
IMG_20191014_083808.jpg
IMG_20191014_083602.jpg
 
Kama hiyo nyumba hizo tiles umeziweka ww vzuri hivo basi nitakutafuta.. very impressive work. Inavutia mno
 
Tofauti na vi urembounavyoweka lakini kazi yako kiufundi ipo duni sana kwa mujibu wa hizo picha. Kajifunze kwa wenzako sanaa ya upangaji wa vigae hivyo. Kuna watu wanavipanga vimenyooka sana na hata hivyo vinafasi kati yake wanaviondoa hakuna cha expansion joint wala kuweka yale ma grouts tembelea nyumba kadhaa halafu ujilinganishe na wewe
 
Sure, ntacheki na kwa mafundi wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom