Fundi simu!!

Kuna mangi mmoja alikuwa pale mtaa wa Uhuru karibu na Keys Hotel, aliandika anatengeneza simu kwa njia ya kompyuta, lakini huyu ni kiboko yao.
 
Mafundi simu ndio wanaongoza kwa uongo yani ni wazee wa kalenda
 
Jamani ni mambo madogo madogo haya kwnye uandishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…