Fundi simu Kariakoo

Fundi simu Kariakoo

IKB

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
75
Reaction score
29
Unasumbuliwa na simu yako:

IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi ,
Tuna flash na kutoa lock
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch
Tuna badilisha betri yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (betri ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu yako inajitach yenyewe kwenye meseji unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitachi ibadilishe,

Ata ukiwa mkoani waweza ituma simu ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam nitaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia simu yako baada ya marekebisho

Maswali naushauri nibure .

Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote

Piga simu au whatsapp mesej

+255744778873

+255659778873
tapatalk_1566392028211.jpeg
tapatalk_1566392021361.jpeg
IMG_20190821_155603.jpeg
IMG_20190820_155356.jpeg
 
aisee, mimi kama umeniona, simu yangu kama hii ni samsung
1566393699495.png

kioo kimevunjika, nilipoambiwa bei karibu lak2 nikaifungia ndani! sijui unanisaidiaje
 
aisee, mimi kama umeniona, simu yangu kama hii ni samsung
View attachment 1186794

kioo kimevunjika, nilipoambiwa bei karibu lak2 nikaifungia ndani! sijui unanisaidiaje
Samsung vioo hatari! Bei ya Dukani S7 edge bei kioo Tsh 400000 mpaka Tsh 370000, used 300k kushuka
 
Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi ,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (batr ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu yako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Ata ukiwa mkoani waweza ituma cm ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam ntaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia cm yako bada ya marekebisho

Maswali naushauri nibure .

Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote

Piga simu au whatsapp mesej

+255744778873

+255659778873View attachment 1186768View attachment 1186769View attachment 1186771View attachment 1186772
Mimi nahitaji sim card Tray ya "Nokia 6.1" unaweza nisaidia kupata??
 
Mimi nahitaji sim card Tray ya "Nokia 6.1" unaweza nisaidia kupata??

Daa kwanza nikupe pole kwa kutokujibu kwa wakati! Trey line ya nokia 6.1 ndio waweza pata nitafute kwa njia ya simu kama hujapa bado...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daa kwanza nikupe pole kwa kutokujibu kwa wakati! Trey line ya nokia 6.1 ndio waweza pata nitafute kwa njia ya simu kama hujapa bado...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante. nilishapata kwa kuagiza AliExpress
 
Back
Top Bottom