Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

kama ni clone huwa zinasumbua sana,
lakini kama ni genuine inawezekana ni kazi ya dakika 15 tu,
bei ni 20,000/=

kuna ndugu yangu anayo clone,
alinunua posta, jamaa waka mpiga na feki.

sasa ameweka patern lock na kwa sasa inadai gmail account,
nayo amesahau password.

fundi wa huku kwetu ameshindwa je inawezekana?
 
kuna ndugu yangu anayo clone,
alinunua posta, jamaa waka mpiga na feki.

sasa ameweka patern lock na kwa sasa inadai gmail account,
nayo amesahau password.

fundi wa huku kwetu ameshindwa je inawezekana?

Kuna posibility ya kupona endapo tu aliweka on usb debuging on.
so ilete ofisini kwangu ni check.
 
Mkuu sijakupata kidogo kuhusu mitaa, Agrrey na Uhuru hii mitaa ipo mbalimbali.
 
Ni HTC, bahati mbaya nipo safari na nimeiacha home, hopefully mwisho wa mwezi nitakujulisha
 
Unweza ku unlock samsung note 2 galaxy ambayo iliingia hapa nchini kama sample. Yaani not for sale
 
Mkuu mm natumia samsung gallaxy s -i897 ya At&t. Ni product nilioletewa toka nje ilivyofika hapa ikafanyiwa configuration na mm nikaanza kuitumia. Sasa siku moja nilibadili line yangu ya tigo nikaweka line ya mtu mwingine ya tigo ikafanya kazi. Niliporudishia line yangu ikakataa kabisa ikaniomba network pin na mm sikua nazijua nikawa nazibahatisha mpk ikajilock. Baadae ilibidi niipeleke kwa fundi na wakaikolokochoa sasa ivi iko poa. Ila kutokana na matatizo ya kimtandao natamani nibadilishe line lkn naogopa isije kubuma km mwanzo. Je unanishauri nifanyeje?
 
kama huyo fundi alifanya unlock then haita sumbua.
but for what i know hizo samsung ndo matatizo yake.
hata ukiunlock na ukibadili tu sim card lock hurudia tena.
so nect time ikilock ilete nitakupatia na unlock pin yake. just in case.
 
Sony Ercisson Factory unlock codes by IMEI
 
kama huyo fundi alifanya unlock then haita sumbua.
but for what i know hizo samsung ndo matatizo yake.
hata ukiunlock na ukibadili tu sim card lock hurudia tena.
so nect time ikilock ilete nitakupatia na unlock pin yake. just in case.

Asante sana mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…