Fundi redio wa kimasai avunja watu mbavu.....

Fundi redio wa kimasai avunja watu mbavu.....

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,342
Reaction score
2,528
Fundi mmoja wa kimasai alipelekewa redio ndogo kwa ajili ya kufanyiwa ufundi......Baada ya kuanza kuifungua mende kadhaa wakaanza kutoka ndani ya redio...Ndipo yule fundi mmasai akaanza kusema...

Hello rafiki, njoo haraka, naona watangasaji wanaisha.
 
Hivi ukiongea Kiingereza huwa kinaisha na ndio unakuwa hujui tena!
 
Back
Top Bottom