Fundi rangi za majumbani

Fundi rangi za majumbani

Mumlii

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2021
Posts
266
Reaction score
362
Habari,
Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
 
Back
Top Bottom