Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,746
- 6,657
Nikiwakuta hivyo......cha kwanza nitawaangalia kama walikula.......hilo ndo la muhimu kwangu.......otherwise nitawatengea chumba chao niwanunulie na rangi zingine wachezee.......chini ya uangalizi.........
Wew ni mdhungu, eeeh!!?
Ndio.......ni mzungu naishi Mongolia............
Nataka nije huku kwa mapunziko lakini wakati wa joto baridi siewezi.
Nikiwakuta hivyo......cha kwanza nitawaangalia kama walikula.......hilo ndo la muhimu kwangu.......otherwise nitawatengea chumba chao niwanunulie na rangi zingine wachezee.......chini ya uangalizi.........
motherly care....lols, full udhungu, kibongobongo ntacharaaaza mbokoNikiwakuta hivyo......cha kwanza nitawaangalia kama walikula.......hilo ndo la muhimu kwangu.......otherwise nitawatengea chumba chao niwanunulie na rangi zingine wachezee.......chini ya uangalizi.........
motherly care....lols, full udhungu, kibongobongo ntacharaaaza mboko
Ndio.......ni mzungu naishi Mongolia............
Karibu sana.........wakati wa baridi hata mimi huwa nakuwepo Yaeda...........kwa sasa nipo Yaeda karibu.........
Yaeda ipi, mimi nipo Yaeda chini.
Hii hii ya Chini........hujaona Amarok ikipita........?......
halafu unairusha wasapu.nawapiga picha kwanza