S Sangwa Member Nov 20, 2018 28 10 Jan 13, 2020 #1 Fundi nguo anahitajika Awe na miaka 24 - 38 Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 Awe anajua kushona nguo za kike vizuri Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.
Fundi nguo anahitajika Awe na miaka 24 - 38 Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 Awe anajua kushona nguo za kike vizuri Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.