Fundi mzuri wa toyota rav4 mwanza mjini

Admin1988

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
1,603
1,835
Habari wakuu.

Natumaini mnaendelea vyema na maandalizi ya X-mass na na Mwaka mpya 2020.

Nahitaji fundi au gereji nzuri ya TOYOTA kwa MWANZA MJINI.

1. Nina Rav4 ya 2003, engine D4 ina kamlio fulani hivi sikaelewi.
2. Na hitaji kubadili SEAT COVER na INTERNAL KWA UJUMLA.
3. Kufunga MUSIC SYSTEM na wiring, bofa na booster.
4. AC kuongeza gesi.

ASANTE WAKUU.
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa Wachina pale Buzuruga(Spring City) na ishu ya Sound nenda Kirumba(Mwembe Sangara) ulizia kwa Sadam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom