N Nimependwa na Yesu Kristo Member Joined Mar 28, 2017 Posts 8 Reaction score 8 Apr 1, 2025 #1 Habari ya uzima, wandugu, Nina uhitaji wa fundi mzuri wa piano , kwa yeyote ambaye anafahamu fundi mzuri wa piano popote pale Dar es salaam , tafadhali naomba nielekeze anapopatikana na kushare pia mawasiliano yake. Asante kwa ushirikiano.
Habari ya uzima, wandugu, Nina uhitaji wa fundi mzuri wa piano , kwa yeyote ambaye anafahamu fundi mzuri wa piano popote pale Dar es salaam , tafadhali naomba nielekeze anapopatikana na kushare pia mawasiliano yake. Asante kwa ushirikiano.
N Nimependwa na Yesu Kristo Member Joined Mar 28, 2017 Posts 8 Reaction score 8 Apr 1, 2025 Thread starter #2 Wadau, naomba , kwa anayefahamu chochote kuhusu hili tafadhali.