Fundi mzuri wa gari za nissan

Fundi mzuri wa gari za nissan

Likey29

New Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
4
Reaction score
12
Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube.

vipengele:
  • inachemsha
  • inachoma coil (nimebadili mara mbili)
  • inakosa nguvu (hai-accelerate)
  • gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka

Naomba msaada wenu wakuu.
 
Nina fundi wangu wa uhakika,💯‼️🔥anatibu gari za Japan, Europe na marekani

Suleiman kondo +255 654 961 992

Mtafute, na uhakika itapona kwenye mikono yake
 
Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube.

vipengele:
  • inachemsha
  • inachoma coil (nimebadili mara mbili)
  • inakosa nguvu (hai-accelerate)
  • gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka

Naomba msaada wenu wakuu.
Engine za Nissan zikianza shida badili engine yote ama mswaki.. Usijaribu kutengeneza utafilisika
 
Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube.

vipengele:
  • inachemsha
  • inachoma coil (nimebadili mara mbili)
  • inakosa nguvu (hai-accelerate)
  • gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka

Naomba msaada wenu wakuu.
WekA Toyota engine 5a
 
Back
Top Bottom