Wadau naomba msaada. Toyota Cami inasumbua upande wa AC ukiweka on ac kuna kamlio kanalia kama mluzi kriiiiiiiiiiii. Naomba anaemjua fund mzuri wa ac anielekeze au anipe namba yake plz. Asanteni.
kwanza ni na swali. mlio wenyewe unatoka ndani ya gari au nje. kwa haraka angalia belt iliyopita kwenye compressor ya ac na pia angalia kama vent za ndani kama kuna ambayo inapitisha hewa ndivyo sivyo