Fundi Massawe!

Fundi Massawe!

Kaka kule ndo kitaa...................unapafahamu vizuri lakini?Naambiwa kumepoa sana si kama zamani na ule uhuni umekwisha kabisa

nakupata sana..hadi mabogini kuna washkaji zangu. of coz kumepoa sio kama zamani ilikuwa ukisikia njoro au pasua unaogopa.
nimemiss soko la mbuyuni
 
Huo wote ni mkwara,alafu eti MTAMBUZI aje kuichukua gari yake aikute tayari kisha amwambie PESA YAKO KESHO LEO SINA KITU.
 
Back
Top Bottom