masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,409
- 14,116
Akiitengeneza ile Toyota Stout kupandia kule milimani,fundi Massawe huwa hataki mchezo!
Lazima iwe Mitaa ya Majengo Moshi Mjini!
Kwa watanzania kitendo cha kuacha wosia ni kujichuria kifo!bila shaka ameshaacha wosia kule RITA
Kwa watanzania kitendo cha kuacha wosia ni kujichuria kifo!
Sasa huyo mheshimiwa Rita atafanya mambo mangapi, ya uwaziri, bungeni pamoja na ya kuwachiwa wosia tena. Teheteheteheteheteheteeeeeeeeeebila shaka ameshaacha wosia kule RITA
Hahahahahahaaaa!!Sasa huyo mheshimiwa Rita atafanya mambo mangapi, ya uwaziri, bungeni pamoja na ya kuwachiwa wosia tena. Teheteheteheteheteheteeeeeeeeee
Mkuu unacheki leaf spring hiyo na diff.Stout itakuwa hiyo...mbona kama Daihatsu?
Stout itakuwa hiyo...mbona kama Daihatsu?
We tutake radhi watu wa Pasua chaliii...............Pasua hakunaga garage mpaka upande Boma ya Mbuzi ile ya Mohamed SadikiNo,pasua au njoro hapo!!!
Ha ha ha !Hii ni Combo. Body ya nyuma ni Isizu KB, Kichwa na Chesiss ni Peugeot 504, Engine ya Toyota stout 2200. Mrenga huo!
Ha ha ha !
Kweli fundi Massawe mtundu!