Gwaje JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 299 Reaction score 86 Oct 30, 2012 #1 Natafuta fundi wa mashine ya kufua aina ya westpoint. Imezima gafra na haitaki kufunguka mlango wakati ndani kuna nguo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano na jamaa wa westpoint Dar maana nimepoteza karatasi ya grantee .
Natafuta fundi wa mashine ya kufua aina ya westpoint. Imezima gafra na haitaki kufunguka mlango wakati ndani kuna nguo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano na jamaa wa westpoint Dar maana nimepoteza karatasi ya grantee .
Gwaje JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 299 Reaction score 86 Oct 30, 2012 Thread starter #2 msaada jamani