Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Mar 12, 2015 #1 Natafuta location ya fundi makini wa iphone. Simu yangu imeharibika power button. Naomba awe wa uhakika na asije kuniharibia. Na gharama za kutengeneza ikiwezekana ntashukuru pia.
Natafuta location ya fundi makini wa iphone. Simu yangu imeharibika power button. Naomba awe wa uhakika na asije kuniharibia. Na gharama za kutengeneza ikiwezekana ntashukuru pia.
Lotusflowerxx JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 284 Reaction score 44 Mar 12, 2015 #2 Bulldog said: Natafuta location ya fundi makini wa iphone. Simu yangu imeharibika power button. Naomba awe wa uhakika na asije kuniharibia. Na gharama za kutengeneza ikiwezekana ntashukuru pia. Click to expand... jarib kkoo agrey ypo fundi mZr bt umsimamie tu me iphn yang iloharibika vya kupandishia saut na power bttn bt now fine
Bulldog said: Natafuta location ya fundi makini wa iphone. Simu yangu imeharibika power button. Naomba awe wa uhakika na asije kuniharibia. Na gharama za kutengeneza ikiwezekana ntashukuru pia. Click to expand... jarib kkoo agrey ypo fundi mZr bt umsimamie tu me iphn yang iloharibika vya kupandishia saut na power bttn bt now fine
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Mar 12, 2015 Thread starter #3 abdulay1993 said: jarib kkoo agrey ypo fundi mZr bt umsimamie tu me iphn yang iloharibika vya kupandishia saut na power bttn bt now fine Click to expand... Una namba yake? Gharama zake zinaweza zikawaje?
abdulay1993 said: jarib kkoo agrey ypo fundi mZr bt umsimamie tu me iphn yang iloharibika vya kupandishia saut na power bttn bt now fine Click to expand... Una namba yake? Gharama zake zinaweza zikawaje?