Heshima zenu wakuu. mimi nipo dar maeneo ya ubungo na nina jenereta langu aina ya tiger saiz ya kati imegoma kabisa kuwaka na tangu niinunue ina miez minne tu. kwa iyo naomba mnielekeze sehem yenye fundi genereta wa uhakika kwa dar na hata kama kuna fundi wa uhakika sehem, basi naombeni namba zake nimtafute anifanyie hiyo kaz. Natanguliza shukrani wakuu..