Sure mkuu hawa wanaowabana sana mafundi ndo wanaoongoza kwa kuibiwaMara nyingi wanaopigwa ni wale mkono wa birika tena hasa "mafundi wa kuokota" ndio kabisaa watakupiga hutaamini..sasa kama mafundi unawalalia huwapi pesa ya kutosha unategemea nini?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah kwel huyo fundi alimuweza boss wakeKuna jamaa yangu alikuwa kwenye ujenzi wa nyumba wake,jamaa kauzu sana mtu wa kufuatilia kila sent yake imetumikaje. Sasa akamwambia fundi amwandikie na kumpigia hesabu idadi za materials kama mbao na bati fundi alipomaliza jamaa akashika karatasi akamwambia fundi twende kununua vifaa. Fundi akamshawishi ili kuokoa gharama issue ya mabati waende Kiwandani kabisa. Jamaa akapokea wazo wakaenda Kiwanda kimoja kipo Nyerere Road,jamaa akatoa oda pale na kulipa kila kitu then wakapewa mzigo wakaondoka nao.
Sasa baadae fundi akafanya kazi yake akamaliza,sasa ikaja kuonekana kuwa kuna mabati yamepungua na jamaa akawa wakati ule hana hela,akaanza kujiuliza imekuwaje bati zipungue na hesabu ilikuwa sawa. Wakati huo fundi yupo mkoani kwenye kazi nyingine,jamaa ikabidi aende pale kiwandani kuulizia kulikoni,jamaa ndio wakamsanua kuwa fundi kakupiga,jamaa kupiga hesabu vizuri fundi alimpiga kama 2ml. Jamaa akachoka na hasira juu,kumbe pale kiwandani yule fundi anafahamika sana na anawapelekea wateja wengi sana,kwa hiyo ana signals zake anazowapa wale wafanyakazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi leo wanazinguana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah kwel huyo fundi alimuweza boss wake
Dawa ni moja tu usiende duka analokupeleka fundi, hayo maduka wanajuana na mafundiKuna jamaa yangu alikuwa kwenye ujenzi wa nyumba wake,jamaa kauzu sana mtu wa kufuatilia kila sent yake imetumikaje. Sasa akamwambia fundi amwandikie na kumpigia hesabu idadi za materials kama mbao na bati fundi alipomaliza jamaa akashika karatasi akamwambia fundi twende kununua vifaa. Fundi akamshawishi ili kuokoa gharama issue ya mabati waende Kiwandani kabisa. Jamaa akapokea wazo wakaenda Kiwanda kimoja kipo Nyerere Road,jamaa akatoa oda pale na kulipa kila kitu then wakapewa mzigo wakaondoka nao.
Sasa baadae fundi akafanya kazi yake akamaliza,sasa ikaja kuonekana kuwa kuna mabati yamepungua na jamaa akawa wakati ule hana hela,akaanza kujiuliza imekuwaje bati zipungue na hesabu ilikuwa sawa. Wakati huo fundi yupo mkoani kwenye kazi nyingine,jamaa ikabidi aende pale kiwandani kuulizia kulikoni,jamaa ndio wakamsanua kuwa fundi kakupiga,jamaa kupiga hesabu vizuri fundi alimpiga kama 2ml. Jamaa akachoka na hasira juu,kumbe pale kiwandani yule fundi anafahamika sana na anawapelekea wateja wengi sana,kwa hiyo ana signals zake anazowapa wale wafanyakazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ni moja tu usiende duka analokupeleka fundi,hayo maduka wanajuana na mafundi
[emoji23]limewahi kunikuta hiliKuna jamaa yangu alikuwa kwenye ujenzi wa nyumba wake,jamaa kauzu sana mtu wa kufuatilia kila sent yake imetumikaje. Sasa akamwambia fundi amwandikie na kumpigia hesabu idadi za materials kama mbao na bati fundi alipomaliza jamaa akashika karatasi akamwambia fundi twende kununua vifaa. Fundi akamshawishi ili kuokoa gharama issue ya mabati waende Kiwandani kabisa. Jamaa akapokea wazo wakaenda Kiwanda kimoja kipo Nyerere Road,jamaa akatoa oda pale na kulipa kila kitu then wakapewa mzigo wakaondoka nao.
Sasa baadae fundi akafanya kazi yake akamaliza,sasa ikaja kuonekana kuwa kuna mabati yamepungua na jamaa akawa wakati ule hana hela,akaanza kujiuliza imekuwaje bati zipungue na hesabu ilikuwa sawa. Wakati huo fundi yupo mkoani kwenye kazi nyingine,jamaa ikabidi aende pale kiwandani kuulizia kulikoni,jamaa ndio wakamsanua kuwa fundi kakupiga,jamaa kupiga hesabu vizuri fundi alimpiga kama 2ml. Jamaa akachoka na hasira juu,kumbe pale kiwandani yule fundi anafahamika sana na anawapelekea wateja wengi sana,kwa hiyo ana signals zake anazowapa wale wafanyakazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
Kuna moja nishawahi shuhudi jamaa alibana sana kwa fundi,fundi akasema fresh tena kipindi kile bati za Msouth zinaingia tena zile za migongo mipana ambazo bei yake walimudu watu wachache sana. Jamaa lile paa la nyumba yake tuu alitumia kama 40ml kasoro kwa ukubwa wa nyumba na dizaini ya paa alivyo design. Baada ya paa kupigwa jamaa akasubiri ajipange ili aanze finishing,bahati nzuri wakati ameenda na fundi mwengine wa madirisha ilinyesha mvua moja matata sana. Aisee mule ndani sio chumbani,chooni wala corridors kukawa kama upo chini ya mwembe na bora hata mwembe aisee.Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
Lakini huu ni uhuni, mafundi waache hizi za upigaji wa kijinga, yeye anapotaka kupiga pesa ya bosi wake hajui kamba mwenzake ame-hustle kiasi gani kuipata hiyo pesa.Shida ni kwamba fundi ukimbana sana hasipokupiga, atakutia hasara. Kuna boss alimbana fundi wa kuezeka toka kwenye manunuzi, muda kuezeka tajiri kavuta kiti kaanza kusoma gazeti.
Kimbembe kilikuja baada ya muda nyumba ikaanza kuvuja, ikabidi aletwe fundi mwingine kurekebisha nyumba, Fundi alikuta kuna sehemu ya nyumba zimepigwa bati mbilimbili.
Kutokana na utata wa boss fundi wa kwanza aliona kuna uwezekano atalipwa bati zilizobaki badala ya pesa akaona isiwe tabu.
Lakini huu ni uhuni, mafundi waache hizi za upigaji wa kijinga, yeye anapotaka kupiga pesa ya bosi wake hajui kamba mwenzake ame-hustle kiasi gani kuipata hiyo pesa.
Halafu hiyo kazi unayofanya unalipwa wizi wa nini tena. Ndo maana mafundi njaa njaa hawa hawana maisha ya maana japo wanafanya kazi za pesa nyingi.
Kabisa mkuu wanajikuta sana hawa matajiri anaweza akanunua matreial 5.milion ila ufund mwambie milion 2 anagoma antk akupe laki 5 s upuuzi huuFundi usimbane mabos wengi wanatushawishi tule kwenye kazi zetu.
Boss ananunua vifaa vya million 35 ufundi unamtajia milioni 6 au 5 yeye anakwambia Kuna fundi hii kazi anaweza kuifanya kwa laki 9 we chukua milioni na laki mbili fanya kazi.(hizi ni dharau Mana umetumia akili muda na ujuzi wako wote kukokotoa hesabu) inabidi ukubari kukomoana nae mbelekwambele.
Mafundi tunaakili nyingi Sana tukiamua tunafanya kazi usiku utajipindua tu😊😊😊😊,ukiweka mlinzi tunakula nae pa1.kesi ya boss na fundi hainaga Mambo ya mahakamani.