Kijundukila Senior Member Joined Apr 7, 2015 Posts 195 Reaction score 144 Aug 8, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi natumai ni wazima wa afya. Naomba msaada wa kujua gharama za guta au kwa anaemfahamu fundi mzuri wa kutengeneza guta anisaidie mawasiliano yake. Nawasilisha.
Habari zenu wanajamvi natumai ni wazima wa afya. Naomba msaada wa kujua gharama za guta au kwa anaemfahamu fundi mzuri wa kutengeneza guta anisaidie mawasiliano yake. Nawasilisha.
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Aug 25, 2016 #2 nenda mitaa ya manzese bakhresa au argentina.