Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki moja sasa na sijui sababu. Nipo Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.