Fundi/gereji yenye kifaa cha OBD (Computer ya kutambua tatizo la Engine)

Chief

Platinum Member
Jun 5, 2006
3,292
2,621
Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki moja sasa na sijui sababu. Nipo Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
 
Je ina matatizo mengine au ni hiyo taa tu?Kuna mtaalam m1 ypo makumbusho, mwingine ypo maeneo ya magomeni
Haina matatizo mengine, ila ni bora kujua kwa nini inawaka kwani ni ishara ya tatizo, kuliko kudharau halafu ndo tatizo kubwa litokee.
 
Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki moja sasa na sijui sababu. Nipo Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
nitafute mm ninakifaa hicho ndugu sitokuchage pesa nyingi nitakufanyia bei ya ki jf jf tu shilingi nelfu 50 tuu. kupima na kuirekebisha kama kuna problem ila kama itahitaji ununuzi wa spea hiyo ni gharama yako kuinunua hiyo spea
 
Hebu tuma contacts zako basi tukupe kazi!
 
Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki moja sasa na sijui sababu. Nipo Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.

Gari yangu pia ilishawahi pata tatizo kama hilo, nikamfuata fundi mmoja akataka nimpe 50,000/= anichekie, wakati natafuta hiyo pesa nikapata safari ya ghafla, gari niliipaki kama wk 1, niliporudi kuiwasha tatizo lile lilipotea, hadi leo almost 9 months sijaona tena hilo tatizo. Na gari ipo tu fresh, pia epuka kuosha engine ya gari yako kwa maji kwenye hizi car wash, ile pressure ya maji yaweza leta tatizo kama hilo
 
nitafute mm ninakifaa hicho ndugu sitokuchage pesa nyingi nitakufanyia bei ya ki jf jf tu shilingi nelfu 50 tuu. Kupima na kuirekebisha kama kuna problem ila kama itahitaji ununuzi wa spea hiyo ni gharama yako kuinunua hiyo spea
mimi pia lakwangu kile kimshale chakuonyesha level ya petrol kwenye tank hakisogei hata nikiweka full tank naweza tumia wee nikijisahau tu gari imenizimikia bil kujua mafuta yamekwisha hebu saidia mimi aisee!!!
 
nitafute mm ninakifaa hicho ndugu sitokuchage pesa nyingi nitakufanyia bei ya ki jf jf tu shilingi nelfu 50 tuu. kupima na kuirekebisha kama kuna problem ila kama itahitaji ununuzi wa spea hiyo ni gharama yako kuinunua hiyo spea

Tupe contacts zako please.
 
mimi pia lakwangu kile kimshale chakuonyesha level ya petrol kwenye tank hakisogei hata nikiweka full tank naweza tumia wee nikijisahau tu gari imenizimikia bil kujua mafuta yamekwisha hebu saidia mimi aisee!!!

Tafuta fundi aangalie boya lipo kwenye tanki la mafuta. Inabidi lishushwe. Boya hilo ndo lina switch ya fuel gauge. Mawazo yangu tu lakini..
 
Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki moja sasa na sijui sababu. Nipo Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.

Umebadilisha air cleaner? mara nyingi hiyo alarm inasababishwa na inbalance in air/fuel ratio. Baada ya kutokea hiyo alarm umeshatia mafuta kituo tofauti na ulipoweka mara ya mwisho? Sababu zingine ni timing out of TD ambapo unaweza kubadilisha timing belt/chain au kuadjust rocker arm gaps. Anzia hapo kwanza halafu utanijulisha.
 
Pole ndugu yangu kwa kutokujua ni kitu kidogo sana fungua boneti halafu angalia kuna cable inayokwenda kwenye Engine imechomoka au iko luzi, ukishaiweka sawa washa gari tatizo lako litakuwa limekwisha kabisa.
 
Ukifungua bonnet kuna waya nyingi kuwa specific waya unaotoka wapi kuelekea wapi?
 
Kwa vile yeye sio fundi acheki waya yoyote iliyochomoka na ajaribu kutafuta ilipochomoka lazima atapaona tu, uzuri ni kwamba vichwa vya pale pa kuchomeka haviingiliani.
 
Umebadilisha air cleaner? mara nyingi hiyo alarm inasababishwa na inbalance in air/fuel ratio. Baada ya kutokea hiyo alarm umeshatia mafuta kituo tofauti na ulipoweka mara ya mwisho? Sababu zingine ni timing out of TD ambapo unaweza kubadilisha timing belt/chain au kuadjust rocker arm gaps. Anzia hapo kwanza halafu utanijulisha.

Wewe kwa maelekezo yako sio fundi, bora usingeandika kitu kabisa. Unatakiwa kumsaidia, sio kumchanganya kwa mambo kibao ambayo sio ya msingi.
 
I have charged you 100 bobs for repairing your car, out of 100 bobs I have charged you 1 bob to connect the wire but I have charged you 99 bobs to know which wire to connect.
 
Back
Top Bottom