hujaeleza vizuri kwamda imekuwaje Hadi ikachanganya maji
je umecheki oilí kula ipo vizuri?
je gari ilichemsha ikapilekea kuchanganya maji na oil?
hapo kama imechemsha nakurusha maji fungua hedi hizo angali gasketi zipoje kagua hedi na slivu kamaimechemsha mudamlefu hadikujizima yenyewe inaweza Kuwa ishaharibu slivu au napistoni kwaujumla ikiwanihivyo lazima injini uipige chini
tatizo lagari kuchemaha ndio tatizo baya zaidi mana inatakiwa ukague vituvingi sana ilikubaini chanzo chagari kuchemsha
ukishindwa kukagua chanzo chagari kuchemsha utafungua hizo hedi utarudishia vizuri lakini ugonjwa utakuwa palepale
angalia Hali ya rejeta,wota pampa,kagua hozi zamaji kagua water jacket Zote kwaumakini oil kula icheki nayo vizuri