Fundi Fuel Meter anahitajika

Fundi Fuel Meter anahitajika

kibiashara

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
75
Reaction score
13
Nina gari Honda Odyssey ya 2004. Mitaa ya kusoma mafuta imekufa. Natafuta fundi/gereji. Mwenye kujua naomba msaada tahadhali. Asante
 
Waungwana namaanisha mita ya kusoma mafuta yani fuel reading meter
 
Tafuta fundi Waya (umeme wa magari)


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Unae fundi mzuri wa umeme wa magari? Nahofia watu kujaribu jaribu wasije niletea damage kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom