Fundi, Fence na Gharama zake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundi, Fence na Gharama zake!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by DullyM, Dec 17, 2011.

 1. DullyM

  DullyM Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Natanguliza Heshima kwenu wakuu!! Nina kajisehemu kangu ka ukubwa wa eka mbili kuna vishughuli vidogo vidogo vinaendelea humo na naona sasa muhimu kuweka fence kwa sababu zote!!! Naomba ushauri nasaha kuhusu fence ya mtindo gani ili kupunguza ghasia za Non welcomed visitors ;-) . na kama kuna bingwa humu mwenye kufanya hizo shughuli ningeomba mawasiliano
  Thanx in advance.
   
 2. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Just PM me, ninafanya hizo kazi nina crew ya mafundi wazuri wa hiyo kazi, nakushauri kutumia chain link fence kuzungushia ili kupunguza gharama ukilinganisha na ya matofali
   
 3. DullyM

  DullyM Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Maridadi mwamba!! ni inbox namba ya simu nikushtue nisikilizie!!!
   
 4. C

  Commanche JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2014
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama alivyosema mkuu hapo juu, weka chain-link fence ni nafuu kuliko tofali.
   
 5. d

  delly Member

  #5
  Apr 3, 2014
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hujampata fundi huyu nae ni fundi mzuri kwa gharama nafuu anaitwa Robert.0754 347 507
   
 6. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2014
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  ninaye fundi ambaye ni mtalaamu sana nipm nitakupa no yake
   
 7. B

  Blac kid JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2014
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 3,367
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Jamani toka 2011 atakuwa hajapataga tu??
   
Loading...