goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,839
- 13,129
Wakuu naombeni msaada kwa fundi carry injection gari inasumbuwa kuwaka na ikiwaka inatetemeka sana nimebadili plug lkn wapi bado hali iko vile vile ....awali kabla cjafanya overholi haikuwa na tatizo lile Sasa nimefanya hvyo gari imekuwa na miss kubwa isiyo elewekaa kuwaka kwa shida Niko morogoro mjini hapa natafuta fundi naishia kunulishwa vifaha je tatizo linaweza kuwa nn