"fundi bomba" anahitajika...

sentesi hii yaweza kua na maana zaidi moja...
zitaje.

1.Fundi aitwaye Bomba anahitajika.
2.Fundi anayetengeneza bomba anahitajika.
Katika Kiswahili kuna tungo tata,zenye maana zaidi ya moja.Kwa mfano :Simba ameuawa,yaweza kuwa Simba mnyama ameuawa au mtu mwenye jina la simba ameuawa!
 
Mpigaji umepiga fresh...
au fundi "bomba"...fundi mzuri,mahiri...
 
Wewe na cantalisia huwa mnacheza kimama mama/kibaba baba hadi kwenye mifereji ya maji taka au??

unachanganya...ni kombolela fulu kujificha miferejini...haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…