Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,076
- 134,461
Mkuu anayeweza kuifanya hiyo design au anayejua fundi. Ajitokeze
Huyo yupo Ghana mkuuHuyo kwenye picha!? Hawezi 😂😂
Pole kaka,utapataHuyo yupo Ghana mkuu
Yupo jamaa ndio kazi zake..ila bahati mbaya hatumii jamii forums....kama bado hujapata fundi nikuunganishe nae!View attachment 3394087
View attachment 3394089
View attachment 3394090
Mkuu anayeweza kuifanya hiyo design au anayejua fundi. Ajitokeze
Niunganishe naye tu haina nomaYupo jamaa ndio kazi zake..ila bahati mbaya hatumii jamii forums....kama bado hujapata fundi nikuunganishe nae!
Mbona nyumba imekaa kama ngome ya kijeshi, amedesign Fundi John.!?View attachment 3394087
View attachment 3394089
View attachment 3394090
Mkuu anayeweza kuifanya hiyo design au anayejua fundi. Ajitokeze
Mkuu hukuombwa ushauri umeombwa fundi au ufundiMbona nyumba imekaa kama ngome ya kijeshi, amedesign Fundi John.!?
View attachment 3394087
View attachment 3394089
View attachment 3394090
Mkuu anayeweza kuifanya hiyo design au anayejua fundi. Ajitokeze
…. yaani hapa mtaa wa ghana Mwanza iwe mbali tangu lini?Huyo yupo Ghana mkuu
Nchini Ghana…. yaani hapa mtaa wa ghana Mwanza iwe mbali tangu lini?
Huyo kaji toa akli tuNchini Ghana
Ngoja twende nae hivyo hivyo tuHuyo kaji toa akli tu
Mkuu labda kuweka maelezo vizuri, hiyo design ipo tayari. Anayetafutwa ni fundi mtaalamuYupo jamaa ndio kazi zake..ila bahati mbaya hatumii jamii forums....kama bado hujapata fundi nikuunganishe nae!
Bora mnara uzimwe wote muwe offline.Ngoja twende nae hivyo hivyo tu