Fundi amechafua masink ya choo kwa cement

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,079
10,386
Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie.

Asante.
 
Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie ,Asante
Weka picha mkuu kwann
 
Kuliko uhangaike muite fundi alie chafua aje asafishe
 
Kuna fundi nilimpa kazi ya tiles mkoa tofauti na ninapokaa siku nimesafiri kwenda hiyo mahali nilijuta kwa hiyo kazi alifanya. Hiyo inaitwa saidia fundi wewe umeiamini ukaipa kazi.
 
Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie ,Asante
Pole sana mkuu.
Ni kweli Kuna wakati unahitaji fundi.wa kazi furani, unajikuta kwenye uchaguzi usio sahihi.kwa sababu ya
1-Kama unatoa pesa ndogo kwa fundi mara nyingi unapata fundi wa viwango vya chini.

2-Una mlipa fundi hela ya kutosha ila hujui kuchagua fundi lazima ubaki na majonzi.

3-Usimamizi hafifu, msongo utakuhusu.
N.k

UVIMO wakati tunafanya kazi za wayaringi ,tulikutana na kadhia hii(pichani) na bosi alilaani sana kazi yetu ila bbada ya kumwelewesha alielewa.
Swich zilikuwa chini ya levo ya plasta, hii ni kosa,nyumba inabaki na mwonekano mbaya.
Kawaida swich ibaki juu ya plasta hapo inape deza na kuongeza furaha kwako.

UVIMO Tuna tumia mafundi wetu kuanzi msingi ,kupaua, umeme na fininishing xote kuepuka haya.

Pole jipe.muda usafishe yataosha.View attachment 1677998View attachment 1677999
IMG_20210115_101322_5.jpg
 
Jaribu kununua soda hasa cocer husaidia kuondoa kutu na vitu ya Aina hiyo kwa kutumia msasa wa maji no/0 uaweza fanikisha.
 
Nunua arro inapatikana madukan hata kwenye hardware zipo.mwagia sehem husika ukae kwa muda wa kuanzia nusu saa ad saa moja ndipo usafishe.sink litakua safi kabisa.
 
Pole sana mkuu.
Ni kweli Kuna wakati unahitaji fundi.wa kazi furani, unajikuta kwenye uchaguzi usio sahihi.kwa sababu ya
1-Kama unatoa pesa ndogo kwa fundi mara nyingi unapata fundi wa viwango vya chini.

2-Una mlipa fundi hela ya kutosha ila hujui kuchagua fundi lazima ubaki na majonzi.

3-Usimamizi hafifu, msongo utakuhusu.
N.k

UVIMO wakati tunafanya kazi za wayaringi ,tulikutana na kadhia hii(pichani) na bosi alilaani sana kazi yetu ila bbada ya kumwelewesha alielewa.
Swich zilikuwa chini ya levo ya plasta, hii ni kosa,nyumba inabaki na mwonekano mbaya.
Kawaida swich ibaki juu ya plasta hapo inape deza na kuongeza furaha kwako.

UVIMO Tuna tumia mafundi wetu kuanzi msingi ,kupaua, umeme na fininishing xote kuepuka haya.

Pole jipe.muda usafishe yataosha.View attachment 1677998View attachment 1677999View attachment 1678000
Ungemsaidia afanye nini kutatua tatizo. Sio uanze kukashifu mara anatoa hela kidogo,mara usimamizi hafifu.
 
Back
Top Bottom