Fundi ALMINIUM

Asuu

Member
Sep 8, 2011
39
2
Tupo mtaa wa congo na somali kipande ndani ya duka la wachina ALUMINIUM QUALITYPROFILE.
TUNAFANYA.
OFFICE PATTION.
MADIRISHA.
MILANGO.
NA MAKABAT YA AINAZOTE.
TUWASILIANE 0652 394427.
 

Asuu

Member
Sep 8, 2011
39
2
dirisha la alminium la futi 5 unatengeneza kwa sh ngapi?

mss msemakweli bado huja kamilisha vipimo vyako. Futi,5 kwa maanaya upana Au urefu,?. Napia unatakiwa utoe utoe vpmo kamili kwamfano dirisha, ni ft, 6+5 yaani urefuna upana. Napia bei inakua nimaelewano, kutokana, na utofauti wa vioo utakavyo penda kwani vipo aina nyingi.
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,360
Inaelekea biashara yenu mnaipiga kimachinga kwani hampo specific kwenye bei na kila mteja atakua anachajiwa bei tofauti ktk same dirisha
 

Asuu

Member
Sep 8, 2011
39
2
Inaelekea biashara yenu mnaipiga kimachinga kwani hampo specific kwenye bei na kila mteja atakua anachajiwa bei tofauti ktk same dirisha
ndg: shine,
labda niseme Hapana. si, kimachinga zaidi, bali nikiungwana,zaidi. Nitakua nimemtendea mteja dhambi kama nitamchaji mteja drisha la ft kwa tano na Amechagua kioo clere. Nikamchaji sawana Aliechagua kioo aina ya bronze oneway,
Hizo ni, Aina mbili tofauti za vioo. Na zina tofauti kubwa sana kibei. Kwamfano: hebu tofautisha hizi squer fut na beizake. Vipo vio kuanzia,1200,1500, 1800,2500,3500,4500, Per squer fut. Ninachofanya, kwanza, ni kumuelimisha mteja, ndio kisha afanye chaguo lake. Napia kuna wanao kuja na chaguolao moja kwamoja, tunawapokea na kufanya naokazi.kwahio swala la umachinga kwetu halipo nikazi tu na ushauri juuya chagulako. Naomba nikufanyie kaziyako,tafadhali.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom