Fund computer anahitajika

Fund computer anahitajika

Mkuu wewe ndie waweza msahidia hawa wengine wanasema kuchomoa CMOS battery akuna hiyo kitu labda Yale ma desktop YA kizaman.... Mm nilishachomoa battery kwa siku Saba nikasafiri nikarudi Bado ikakumbuka password...... Bios password wacha kabisa ni mzuri kwenye computer. Pale wezi wanapokuibia watasota Sana kuiweka vizuri....
Ulifanyaje mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom