Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo la video kuscratch kwenye laptop

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,020
2,600
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri pamoja na challenges za kirusi hiki kinachotesa ulimwengu mzima COVID-19 ,

Pia ndugu zangu waislamu mnaoendelea na mfungo nawaombea pia.

Naenda straight to the point nina PC aina ya HP Kwa kipindi hiki niliamua kujipa lock down mwenyewe Kwa kudownload movies kupitia site za uTorrent, na you tube lakini sasa cha ajabu movie zinascratch yaani kama vile kwenye T.V,

Nimejaribu kuupdate window ten kila siku lakini bado pia,scan viruses ,kusafisha local disk C,pia kuremove temporary files lakini bado.

Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kutatua changamoto hii.
 
Uwezo wa graphic card yako,
Resolution ya Screen yako,
Player unayotumia.

Wataalamu zaidi watakuja kukudadavulia..
kwakuanzia, change player unayotumia.
 
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri pamoja na challenges za kirusi hiki kinachotesa ulimwengu mzima COVID-19 ,

Pia ndugu zangu waislamu mnaoendelea na mfungo nawaombea pia.

Naenda straight to the point nina PC aina ya HP Kwa kipindi hiki niliamua kujipa lock down mwenyewe Kwa kudownload movies kupitia site za uTorrent, na you tube lakini sasa cha ajabu movie zinascratch yaani kama vile kwenye T.V,

Nimejaribu kuupdate window ten kila siku lakini bado pia,scan viruses ,kusafisha local disk C,pia kuremove temporary files lakini bado.

Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kutatua changamoto hii.

Bila Shaka Naamini Movie Zako Zina Resolution Kubwa Kulingana Na Uwezo wa Pc Yako. Kwa Movie Za Kisasa Nyingi zina 4k na Nyingne Hadi 8k, Ila unaweza Kupata Movie hiyo hiyo kulinga na Rsolution ya Pc yako, Pia Kama Hutaki kusumbuka Kudownload Upya Movie Tumia CnX Media Player kuplay Movie yako, Inapatikana Ms Store
 
Hadi 720 p mzee,360,ndo saizi ya video zng.
 
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri pamoja na challenges za kirusi hiki kinachotesa ulimwengu mzima COVID-19 ,

Pia ndugu zangu waislamu mnaoendelea na mfungo nawaombea pia.

Naenda straight to the point nina PC aina ya HP Kwa kipindi hiki niliamua kujipa lock down mwenyewe Kwa kudownload movies kupitia site za uTorrent, na you tube lakini sasa cha ajabu movie zinascratch yaani kama vile kwenye T.V,

Nimejaribu kuupdate window ten kila siku lakini bado pia,scan viruses ,kusafisha local disk C,pia kuremove temporary files lakini bado.

Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kutatua changamoto hii.
Video inascratch pindi ukiwa huja update graphics driver, pc haisupport codecs husika, resolution kubwa, uwezo mdogo wa pc etc.

Kwa kuanza
-taja model ya pc ama specs nenda my computer kisha right click kisha properties weka screenshot yake hapa ama andika hapa unachokiona na jina la processor full.
-weka link ya hio video inayoscratch
 
naomba uelewa jinsi ya kuupdate mzee au ndo window update
Japo hujasema unatumia window gani..

anyway nenda
Setting - Control Panel - Device Manager - Display adapters - Inter(R) - Driver - Update Diver.

Hakikisha upo connected to internet.
 
Video inascratch pindi ukiwa huja update graphics driver, pc haisupport codecs husika, resolution kubwa, uwezo mdogo wa pc etc.

Kwa kuanza
-taja model ya pc ama specs nenda my computer kisha right click kisha properties weka screenshot yake hapa ama andika hapa unachokiona na jina la processor full.
-weka link ya hio video inayoscratch
Sawa nawatumia,Ila specs zake Kwa haraka ni storage disk: 500gb,,ram:4,, processor:2.00hz,,corei3,, generation ya 6..
 
Hadi 720 p mzee,360,ndo saizi ya video zng.
Tuambie kuhusu Memory namaanisha RAM ya PC yako na na storage space (free space kwenye HDD).
Kama RAM ndogo na HDD inakaribia kujaa inaweza kuleta shida hiyo.
Jaribu kuongeza Virtual Memory kwenye PC yako kama bado una free space kubwa, iwe 2xRAM, au 4xRAM, au 8xRAM.

Mara nyingi Resolution ya Movie ikiwa kubwa kuliko ya PC yako inaleta shida hiyo.
 
Sawa nawatumia,Ila specs zake Kwa haraka ni storage disk: 500gb,,ram:4,, processor:2.00hz,,corei3,, generation ya 6..
Generation ya 6 mkuu inaplay hadi 4k na codecs za kisasa kama x265 na vp9. Hivyo uwezekano mkubwa ni tatizo la driver.

Download hapa
Downloads for Intel® HD Graphics 520

Kama una win 7/8 download hiyo ilioandikwa 7/8 kama una win 10 download ambayo haijakuwa os specified
 
Sawa nawatumia,Ila specs zake Kwa haraka ni storage disk: 500gb,,ram:4,, processor:2.00hz,,corei3,, generation ya 6..
Duuh PC yako ipo vizuri tu, wakati unatafuta solution ya kudumu basi kwa kuanzia kama una play movie hakikisha ipo kwenye computer yako siyo kwenye external au flash.
Funga application zingine zote ikiwemo utorrent(hii fanya exit kabisa sio ku-close).
 
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri pamoja na challenges za kirusi hiki kinachotesa ulimwengu mzima COVID-19 ,

Pia ndugu zangu waislamu mnaoendelea na mfungo nawaombea pia.

Naenda straight to the point nina PC aina ya HP Kwa kipindi hiki niliamua kujipa lock down mwenyewe Kwa kudownload movies kupitia site za uTorrent, na you tube lakini sasa cha ajabu movie zinascratch yaani kama vile kwenye T.V,

Nimejaribu kuupdate window ten kila siku lakini bado pia,scan viruses ,kusafisha local disk C,pia kuremove temporary files lakini bado.

Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kutatua changamoto hii.
Nafikiri badili vlc media player weka version mpya, naamini ukitumia player zingine movies zinacheza fresh. Au uninstall Kisha install tena vlc media player
 
Tuambie kuhusu Memory namaanisha RAM ya PC yako na na storage space (free space kwenye HDD).
Kama RAM ndogo na HDD inakaribia kujaa inaweza kuleta shida hiyo.
Jaribu kuongeza Virtual Memory kwenye PC yako kama bado una free space kubwa, iwe 2xRAM, au 4xRAM, au 8xRAM.

Mara nyingi Resolution ya Movie ikiwa kubwa kuliko ya PC yako inaleta shida hiyo.
Ram ni 4gb
 
Back
Top Bottom