Zanzibar 2020 Fumbo la Urais CCM Zanzibar 2020: Salamu kwa Mwenyekiti wa chama na timu yake

Endeleeni kudanganywa. CCM ni wavuvi wajanja. Wanajua pweza alipo.
Tokea hapo tunajua kwamba hawana msimamo wowote. Lkn huwa wanakijeruhi chama.

Ccm hawana habari ya kushindwa hawajadili hilo Zanzibar. Maana akina Jecha wapo wengi. Hilo sio lakujadili.
 
Wewe ni mgeni hapa Tanzania? Hujui kinachoendelea Zanzibar mila ukifika uchaguzi?
Wewe mwenyeji? Basi sawa. Ila mimi ni "mdau" wa siasa za uchaguzi Zanzibar! Kwa taarifa tu, siasa za uchaguzi Zanzibar zina misemo miwili;
a) Hala Hala, mimi ni mvuvi mjanja, najua pweza alipo! (CCM)
b) Wajinga ndio waliwao. (Maalim na Wafuasi wake)
 
Kimsingi sidhani kama CCM iliwahi kushinda uchaguzi wo wote Zanzibar baada ya Tanzania kuruhusu mfumo wa Vyama vingi 1992! Nadhani hata Mwalimu Nyerere amefariki dunia akijua Wazanzibar wana msiamamo.
Nachowapendea Wazanzibar siyo Wanafiki kama sisi Wabara.Na sina hakika kama na wao wana Kipindi cha kusifu na kuabudu.
Kama kitu hawakipendi ni kweli hawakipendi.
 
Back
Top Bottom