Fumanizi

Munkari mama nimekumisi sana nipm na zawadi yako pls
 
Last edited by a moderator:

Wewe umejuaje wakati ni mwanamke?

Hatahivyo hakuna papuchi ya kunifanya nikamshike mtu shati hata kidogo!!!!!!!!!!!
 
Leo lift tu kavua chupi! Je boss wake akimuomba si atavua tena ili asiifukuzwe kazi. Yani shemeji yako inaonekana mwiko kumfanyia wema ukimfanyia tu malipo chupi.NDOA NGUMU
 
Mkuu jamaa anadai anatetea ndoa yake.

Huyo mwanamke si anajinadi hajaolewa?
Mshauri jamaa yako apige kazi mkewe ajione kweli yuko kwenye ndoa!!!
Atapigana kila siku!
 
Kuna mdau humu jamvini anaitwa LifeHacker nadhan yeye atsaidia mdau ndoa yake iwe na amani kama yake!!! Na Pasco pia tunaomba ushauri!! Maana haya mambo ya mangumi kwenye ndoa yanatufanya tusogee mbali kabiasa na hiki kinaitwa ndoa!!!
 
Last edited by a moderator:
Hujapenda wewe!

Kama unajiita umependqa halafu iunakwenda kushikana mashati kwa mtu kuamua kuutumia mwili wake atakavyo utakuwa una matatizo ya akili!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…