Fumanizi

Huyo jamaa yko naye hatoshi.......... Mwanamke amekiri kabisa kuwa alimkana mbele ya jamaa kuwa hana mume halafu yeye anaendelea kuomba ushaur! Hapo ni kumfungashia mabegi na kumtupia nje
 
Siku hizi kumekuwa na tabu sana sijui kwa nini hili jinamizi linazikumba ndoa nyingi,mimi siamini kama jamaa hajitumi ni kijitabia kimezuka wanawake wanatoka nje ya ndoa wakisingizia kutofikishwa kwani mpaka anaolewa hakuliona hilo kizazi chenyewe cha shake before use? kama amegundua tofauti baada ya kuingia ameshindwa kuongea na muhusika mpaka anatoka nje au kutoka nje ndiyo suluhiho la kuridhishwa? Akae na mke wake watafute suluhisho la kudumu wakitafakari zaidi mstakabali wa maisha ya mtoto wao,muda mwingine wanawake wanajidharirisha wenyewe,hata jamii inayomzunguka haitamthamini na kumuona kicheche
 
Nikiongea neno moja tu nitabubujikwa na machozi kwa jinsi ulivomisiwa na nafsi yangu...!

ha ha ha loh twenzetu escape banaa! Nimemis pale mahali aisee kwani bday yako haijafika tena?!!
 
Hivi kisa cha kwenda kushikana mashati na mtu kwasababu ya papuchi ni nini?

......hahahahahaaaa, utamu bro,,,,,shimo lako asali mwingine akichovya ni balaaa.....hahahahahaaaa
 
Ahahah...kuna kiota kingine kizuri zaidi...nimeku-PM lokesheni Nicas Mtei asije akajiinvite~!

afu tukutane jukwaa la elimu pale juu kwenye sticky nikwambie kitu tochi yangu imeishiwa bundle !!
 
Last edited by a moderator:

....yaani hapa ni thread closed.........tupa kule songa mbele......
 

Balaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…