Kama ni ndo huyo mume, nawapa hi, napita zangu naweka mkoba wangu mahali pake. Then naendelea na mambo yangu. Simgombezi, wala simpigi, wala simchekei. Hatanipikia, najipikia msosi wangu, kitandani mzungu wa nne, nikiamka najipashia maji ya kuoga, natengeneza chai, naenda zangu ofcn, nafanya hivyo mfululizo, then kitakachotokea hebu jazeni majibu hapo .....................................