Fumanizi...!

Unazungumzia mkoa upi? Tanga au Mjini Magharibi?

uko sio mikoani, mbona huko ndo wale wale walamba chips?? Nazungumzia Tabora na Shinyanga na Ng'wansa tunapokulaga ugali ule wa chungu na mabele na sato. Ugali unajikatia mwenyewe kutoka kwenye chungu na mabele unajimiminia kutoka kwenye kibuyu
 
Ah kumbe unazungumzia wale washamba wanaochambia magunzi?? Basi sawa.
 
Dah hiyo ni noma, amrudie mwenyezi Mungu na aache huo mchezo,.....next time watapitia kichwa kikubwa.
 
Adhabu yake ndogo kakatwa tuu...mbona hii siyo adhabu ni utani huu.
 
Yaan nimestuka kukutana na pichaa uhii, sasa ataishije hivyo, jaman aliyemtendea hicho kitendo si vzr uhii had nimeogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…