FUMANIZI limezua jambo

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,201
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira na ana pisto, **** akachukua nguo zake na kuruka dirishani na kukimbia. Kufika barabarani akakuta watu wengi wanakimbia wako kwenye mashindano ya mbio nae akajiunga. Mmoja akamuuliza, mbona unakimbia uchi? jamaa akajibu napenda sana hivi, najisikia fresh. Mwingine akamwambia ndo ukimbie nguo umebana kwapani? Akajibu sasa niziweke wapi? Mwingine akamuuliza kwa hiyo kila ukiwa unakimbia unavaa kondom,jamaa akajibu hapana huwa navaa kama mvua inanyesha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom