Fumanizi la weekend

Hivi kwa nini wanawake huwa wanazificha sura zao kwenye hizi picha za mafumanizi tofauti na wanaume ambao huonekana kutojali Sana?
 
Kiasili NDAGLA mwanamke ameumbwa na aibu na vilevile kuna ishu ya mwanaume kuwa ndio mtendaji mkuu
 
Last edited by a moderator:

Mwanaume siku zote huwa hajioni mkosaji.....hata kama moyoni anajisikia vibaya atajikakamua aonekane yupo kawaida tu....
 
Kula mke wa mtu rahaaaaa sanaaaaaaaaaa..........
Ila usiombe ufumaniwee Utaiona dunia chungu.
 
Mwanaume siku zote huwa hajioni mkosaji.....hata kama moyoni anajisikia vibaya atajikakamua aonekane yupo kawaida tu....

Kwa hiyo kuficha sura ndo kuonesha umekubali kosa? Sijakuelewa bado.
 
Kiasili NDAGLA mwanamke ameumbwa na aibu na vilevile kuna ishu ya mwanaume kuwa ndio mtendaji mkuu

Sawa kiongozi though siku hizi Kuna wanawake ambao ni watendaji wakuu vilevile.
 
Last edited by a moderator:
Ni nini faida ya mafumanizi na kuanikana ?? je aibu ni ya nani ? baada ya hapo nini kitafuata?
 
Talaka....unamuanika ili dunia nzima imjue kwamba ye ni mchepukaji....lazima itamcost mbele ya safari
 
kama unaamua kumwacha mwenzi wako hakuna sababu ya kumdalilisha maana mnajidhalilisha wote ... kwanza ni vyema ujiangalie wewe binafsi usafi wako kuliko kuangalia uchafu wa mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…