Fumanizi la Mwezi

Fumanizi la Mwezi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
1237083_576502609076135_1128263270_n.jpg
 
... daaah umenichekesha sana nimetafakariii sikuelewa kumbe mankachara alimaanisha uvunguni...

hapana fungu ni sehemu iliyokusanyika mchanga, sijakosea hukunielewa, wala sikukusudi mvunguni
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyo wa kwenye feni, nawaza tu ingetokea mume akawasha switch ghafula ingekuwaje? Kwa sababu tuna tabia tukirudi home tu, cha kwanza ni kuwasha feni sababu ya joto.
 
Back
Top Bottom